Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Black colour.. Excellent condition. 150k.. Dsm.
1 Reactions
22 Replies
2K Views
wapendwa naitaji mtaalamu atakaeweza kuniandikia proposal ya kufungua kiwanda cha maji safi ya chupa awe na utaalamu na uzowefu wa hii sector
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ntatafut a small ya Samsung A7 pest ipo. ..
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Contact me now for effective design and desirable plus complicated plans. Tunafika site kwako tunachukua vipimo..halafu tunafanya kazi Karibu sana 0654919121 0758919121 0622060797 0683928358...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Saa, cheni, heleni, pete, bangili, bracelet nk. Kwa bei nzuri jumla na reja reja. Tupo dar kariakoo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mada tajwa yahusika Nna milioni 1 nataka kiwanja Mwanza ,kiwe mahali ambako kuna huduma ya maji na umeme,sitaki madalali Kama kipo tupia comment yako hapa
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari za Majukumu ninauza kiwanja bei sawa na hali ya Maisha ya sasa Kiwanja kipo ilalila center kipo barabara kuu mita 300 kutoka main road ukubwa 30*40 Bei ni milioni tatu tu Tunaandikishiana...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari za jioni Tunatoa huduma za ushauri kwa masuala yafuatayo Real Estate 1)Uhamisho wa miliki ya Nyumba,Kiwanja (Transfer)Kutoka kwa Mtu mmoja hadi mwingine 2)Utayarishaji wa Hati kuanzia...
0 Reactions
1 Replies
589 Views
Nyumba ya vyumba 3, eneo la mikutano inapangishwa, inafaa kwa matumizi ya ofisi ipo Kinondoni morocco, pembeni ya kituo cha mabasi ya mwendo kasi na daladala, bei ni 1,500,000 kwa mwezi...
1 Reactions
0 Replies
715 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema mwenye mzani aniuzie nicheki 0787384659.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yard inauzwa ipo kigamboni kisiwani, eneo limezungushiwa ukuta kama linavyoonekana , lipo umbali wa 4km toka magogoni na umbali wa 3km toka darajani linaukuwa wa 4800 sqm. bei ni 250m...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali ya Nchi ya China na kampuni ya SINO LIGHT INTERNATIONAL(CHINA) imetangaza fursa mpya kwa biashara ya mihogo mikavu katika Nchi ya CHINA.Mihogo mikavu zaidi ya tani laki tatu inahitajika...
1 Reactions
74 Replies
26K Views
Nimelima Mihogo aina ya kiroba Eka tatu na sasa iko tayari Kwa ajili ya kuvunwa, Naomba msaada Kwa anayejua Soko zuri la Mihogo ningependa kuuza Kwa jumla.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar wakuu kiwanja kinauzwa bei poa sana Mwanza Buswelu ilalila bei mil moja laki Saba tu ukubwa ni 25*30 Kwa mwenye uhitaji kind ni WhatsApp 0763772636
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Hello!/kwa mahitaji Usafi Wa maofisin,warehouse,malls,etc Msisite kuwasiliana nami..bei nzuri na affordable
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Tsh 200,000 Warrant mwaka mmoja Tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery Contact :0714417739
0 Reactions
0 Replies
3K Views
BASICS, ADVANCE, ULTRA ADVANCE, Portrait Retouching, Video Editing, PSD FILES - ALL OF THIS IN ONE SINGLE COURSE Cost: Tsh 150,000 Delivery Mode: 23 hours on-demand vide...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
*MUHIMU* Wadau nauliza Bei za power trailer na Brand nzuri ni ipi, nahitaji ya kutumia maeneo ya kongwa.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Natafuta tender ya kisupply viazi vya chipsi na kupika kutoka njombe, kwa waliopo Dar, karibu tufanye biashara, Mawasiliano 0715808028.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom