ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,210
Wadau nataka kuanzisha duka la nguo za mtumba nimepata chimbo moja matata sana,nahitaji kujua wapi naweza kupata "enga" sijui kama ni kiswahili fasaha.Nahitaji kama 700-1000 hivi,nipeni chimbo la enga za bei rahisi zile za wire.Nitashukuru sana...