Bei take Tsh, ngapifika mtaa wa uhuru+nyamwezi, kuna maduka kibao pale, used + new , ushindwe wewe tu, achana na vya mikononi!
mmmhh 2018!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi nilinunua PC used lak 2.5 DEC 2018 mpaka Leo ninayo nimeiformat Mara 3, yule muhindi aliniambia nisi Basibashe window wala ram, ni dell latitude 4200 kama sijasahau, nimenunua nyingine mpya kwa aibu lakn bado Ipo vizur mpaka ajabu