Pata mafuta ya nazi asilia(virgin 100%pure coconut oil,cold pressed)

Nayer6

Member
Jan 28, 2018
78
94
Je wajua faida ya mafuta asili ya nazi?
. Yanatengeneza Misuli ya mwili
Hutibu maambukizi ya fangasi
. Yanaotesha nywele
Yanaondoa mba kichwani
Mafuta bora zaidi kwa ngozi yako
Yanalinda ngozi yako dhidi ya miale ya jua.hizo ni faida chache tu na nyingine kemukemu...jipatie mafuta ya nazi katika ujazo wa mls.250 kwa shilingi Elfu 15 tu,yaani tshs.15,000/= tu.bei sawa na bure na faida kibao.kwa mawasiliano Zaidi Piga simu namba 0717848369,ukitaka kuletewa kuna pesa ya usafiri itakayoongezeka.tupo makumbusho karibu na jengo la sayansi...
 
Parachute sio asilimia mia asilia,hiyo ndio sababu mafuta yetu yana bei hio kwa ujazo huo,
 
Sababu ni asilimi mia asilia,na hayajapitishwa kwenye moto yaani ni cold pressed oil
 
kama parachute imeongezwa kitu kwa kuwa ni cha kununua hicho kitu bei ingekuwa kubwa, nyie yenu hayajawekwa chochote bei juu
 
Prettylicious+20180129_200151.jpeg
 
Parachute sio asilimia mia asilia,hiyo ndio sababu mafuta yetu yana bei hio kwa ujazo huo,
kwa hiyo washauriwe kufungiwa na TFDA kwa kudanganya umma maana ni maelezo kwenye lebo zao.
na yako yamethibitishwa na vyombo husika.
nauliza hivyo kwa sababu nimeamua kuyatumia kama mafuta yangu rasmi baada ya kupata elimu ya umuhimu wake.
 
Wanaume wengi hawafahamu. Siku za karibuni pameibuka magonjwa ya ngozi kwa wanaume na hasa kunuka mapumb* na maeneo yote ya sehemu za siri.

Mafuta ya nazi hundoa kabisa hiyo harufu na uwezekano wa fungus katika hayo maeneo. Paka kila siku baada ya kuoga, asubuhi na jioni baada ya kujikausha vizuri.

Hii itasaidia pia wanawake ambao ni wanene kuundoa ule ukungu mweupe katika ya mfereji wa kanali huko nyuma.
 
Back
Top Bottom