Nahitaji GPS mashine

Nahitaji GPS mashine

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
653
Habarini wadau,

Nahitaji mashine nzuri ya GPS ya bei ya kati wanayotumia wataalam wa survey kwa ajili ya kupimia viwanja,mwenye uelewa iliyo nzuri na zinapoizwa plz!!
 
GPS?? unaweza kununua GPS?? GPS ww ya nn? hutaweza kununua wala kutumia GPS
 
Habarini wadau,

Nahitaji mashine nzuri ya GPS ya bei ya kati wanayotumia wataalam wa survey kwa ajili ya kupimia viwanja,mwenye uelewa iliyo nzuri na zinapoizwa plz!!
Wewe utakuwa unataka gps ya handheld...cha kufanya Nenda science scope Pale moroko wanauza bei znanzia 300000/ na kuendelea..
Nenda pia Pale jengo la mwanamboka kuna washkaji wanauza pia....gps Aina nyingi tu
Ukitaka Hata zile gps sjui mnaziita geodetic zile
Kubwa utazipata sehemu hzo nlizokutajia ni za uhakika!

Ova
 
Back
Top Bottom