Tunafundisha wanafunzi wote kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita kwa masomo yote ya sayansi, Sanaa na biashara. Pia nafasi chache zipo kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya msingi tupo kinondoni...
Wakuu habari za mida hii?
Bila kuwachosha nina simu yangu aina ya Huawei ni Tablet inatatizo la spika pamoja na vitufe vya kuzimia na kuongezea sauti vimetoka.
Fundi mzuri asiyekuwa mbabaishaji...
1. Camera set 4 na DVR yake na system nzima ni Tsh 900,000/-
2. Camera set 6 na DVR yake na system nzima ni Tsh 1,300,000/-
3. Camera set 8 na DVR yake na system nzima ni Tsh 1,900,000/-
4. Camera...
Hiki ni moja ya kitabu ninachohangaika kukipata na mpaka sasa nimetumia wiki 4 bila ya matumaini yoyote.
Nimezunguka Posta kwenye maduka makubwa makubwa sijafanikiwa kupata now nimeamua kukileta...
Nahitaji screen protector ya iPad 2 apple model nipo Dar es salaam,,, Bainisha na gharama yake ,,,for more information: screen protector seller follow me PM
Wadau habari zenu, leo asubuhi nimeangusha earphones nyeupe zinatumia bluetooth kwenye gari ya kwenda tegeta kutokea kivukoni, aliyeziona jamani anisaidie kwani nazihitaji sana.
Simu nimenunua miezi 2 iliopita/K/koo sh 315,000 ila naiuza kwa 295,000. haina tatizo lolote lile.
13MP camera
2GB RAM
16GB Internal
4G Network
Original Charger
Njoo PM kama unavutiwa.Asante.
Kipo Toangoma mtaa wa Masaki ,sio mbali na stand kuu ya Toangoma na ni karibu na shule ya sekondari, ukubwa wa eneo ni futi 60 kwa 70. Hakina hati na bei yake ni tshs million Saba...
Maverick supplies ni kampuni inayojiendesha kwa uuzaji wa mayai ya kienyeji na kisasa. Kwa sasa, stock ya mayai ya kisasa ipo ya kutosha sana. Kwa mwenye mahitaji ya mayai hotelini, shuleni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.