Nahitaji gps mashine

Nahitaji gps mashine

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
653
Habarini,

Wapi nitapata GPS mashine kwa ajili ya kazi za survey na kupima viwanja na mashamba ya bei ya kati tu.

Je aina gani ni nzuri ninayoweza kuanza nayo?
 
Wewe mwenyewe ndio utaitumia? Wewe ni savea mkuu?

Au kimsingi unahitaji kupimiwa viwanja na mashamba
 
Ukiwa kama surveyor ulitakiwa ujue ni mazima gani wanayoyauza hzo GPS mkuu?

Ova
 
tafuta garmin 62sc, matata sana hii, accuracy ni <5m
bei ni kati ya 1.2m mpaka 1.5m
achana na zile za bei rahisi utaaribu kazi mkuu, rahisi aghali!
 
Back
Top Bottom