Kwa anae hitaji mayai ya kuku wa kisasa, idadi yeyote ile tuwasiliane

Tafakuru

Member
Dec 9, 2011
83
33
Maverick supplies ni kampuni inayojiendesha kwa uuzaji wa mayai ya kienyeji na kisasa. Kwa sasa, stock ya mayai ya kisasa ipo ya kutosha sana. Kwa mwenye mahitaji ya mayai hotelini, shuleni, hospitali, bakery, catering services, majumbani na sehem kama hizo. Tuwasiliane kwa namba kuweka order ya mayai.
Karibuni sana
 
usije mkawa ndiyo nyie mnayatoa mayai mombasa kupitia tanga hadi dar, manakuja kujaza soko na kuwaua wafugaji wadogo wadogo -- lazima tukuchunguze.
 
Mnauza mayai yanayoweza kutotoleshwa kupata vifaranga vya layers au broilers? Kama jibu ni ndiyo naomba kujua bei.
 
Karibu kunichunguza

Kama umekaribisha kuchunguzwa anika profile ya kampuni yako hapa tuichunguze kwa kina kama unaleta kutoka mombasa tunataka kujua unalipa kodi na kama unalipa kodi kiasi gani manake nasikia bei yenu iko chini sana.
 
Bana ayo maongezi ya kuchunguzana msituhusishe sisi kwa sasa....me ningependa kujua bei kwa tray unafanya kwa kiasi gani..na utanicharge kiasi gani kwa tray 100 au zaidi......napatikana tegeta kibaoni...njia ya kuelekea soko la nyuki....naomba unijulishe bei tafadhali
 
usije mkawa ndiyo nyie mnayatoa mayai mombasa kupitia tanga hadi dar, manakuja kujaza soko na kuwaua wafugaji wadogo wadogo -- lazima tukuchunguze.

Mkuu si ni biashara? vipi huwezi kutoa Dar kupitia tanga ukapeleka Mombasa? wao wanawezaje kuingiza dar na wewe ushindwe kuingiza Mombasa?

Mkuu hili ndo soko huria na katika soko huria kuna ushindani wa kufa mtu na kampuni ambazo zimejiposition vizuri ndo huwa zinasavaivu na zinazo shindwa hufa.

So mkuu chukua mayai kutoka Mombasa kama chaleng ya kuweka mikakati ya kibiashara na wewe uweze hata kuuza Kongo na kwingineko
 
FUSO una hasira na wanaoketa mayai kutoka Mombasa! Mpaka amefika Dar, na kupita Lunga Lunga---- Horohoro ina maana anajua anachokifanya. Fuata ushauri wa KOMANDOO hapo juu kama wewe ni mfugaji. Ukiwa mjasiriamali jiandae kwa changamoto na mojawapo ndo hii inayoletwa na Tafakuru.
 
Maverick supplies ni kampuni inayojiendesha kwa uuzaji wa mayai ya kienyeji na kisasa. Kwa sasa, stock ya mayai ya kisasa ipo ya kutosha sana. Kwa mwenye mahitaji ya mayai hotelini, shuleni, hospitali, bakery, catering services, majumbani na sehem kama hizo. Tuwasiliane kwa namba kuweka order ya mayai.
Karibuni sana
Hongera mkuu kwa initiave hii, haya mayai yaliadimika sana, mpaka bei zikapanda mno. Sasa si ungeweka hiyo namba na bei yako kwa tray moja, na useme mzigi unapatikana wapi kukamilisha tangazo. Au ndio mambo ya KuPM tena?
 
Mkuu kimya au ndio lori zako za mayai ni zile zilizokamatwa jana? tupe bei na wapi unapatikana..
 
ndo yale mayai feki tunayoelezwa kila siku kwenye vyombo vya habari, hayana kiini
 
Mkuu si ni biashara? vipi huwezi kutoa Dar kupitia tanga ukapeleka Mombasa? wao wanawezaje kuingiza dar na wewe ushindwe kuingiza Mombasa?

Mkuu hili ndo soko huria na katika soko huria kuna ushindani wa kufa mtu na kampuni ambazo zimejiposition vizuri ndo huwa zinasavaivu na zinazo shindwa hufa.

So mkuu chukua mayai kutoka Mombasa kama chaleng ya kuweka mikakati ya kibiashara na wewe uweze hata kuuza Kongo na kwingineko

Komando unamtizamo chanya. Kibiashara sisi watanzania gharama za uzalishaji zipo juu sana hivyo, co rahis sana kupata mayai ya kwenda kucompete Kenya ndo maana tunauzia humhum ndani.
 
Back
Top Bottom