Hi wana JF, ninayo laini ya TTCL niliyoisajili kwa jina langu na niliwahi tunza muda wa maongezi mwingi sana zaidi ya shilingi milioni moja. Nimeamua kuuza laini ya simu ikiwa na muda wake wa...
Eneo Linauzwa bagamoyo Kiromo size in sqm ni 1406 sqm bei tzs 8.5m eneo lina documents Salama.sio mbali na barabara kuu ndani kwa 11km kutokea barabara kuu ya kwenda bagamoyo.kwa mawasiliano zaidi...
Karibu ujipatie Viwanja,Nyumba,Mashamba na Maeneo ya uwekezaji Mkubwa na Mdogo kwa Bei zinazolipika
Chang'ombe Extension Kiwanja kinauzwa ni karibu na Nkuhungu pia Kiwanja ninafaa kwa biashara...
Je, ulishawahi kureset simu alafu ukasahau google account pale unapoiwasha?
Na ukashindwa nini cha kufanya?
Sasa kama upo Dar es salaam na una simu yako ya android ambayo umeshindwa kuitumia...
Mimi ni mfanyabiashara wa Electronics hapa Dodoma nilikuwa nahitaji kujua mambo yafuatayo kuhusu mkopo
1.Taasisi ambayo naweza pata mkopo wa kama milioni 5
2.Natakiwa niwe na nn kama mdhamana wa...
Ndugu yangu amekwama anapangisha g/house kwa 1.2 milion kwa mwezi anataka kodi ya miaka miwili atatue matatizo ila gest ipo uswahilini
Aliye serious awasiliane nae 0767448306
Maumivu ya tumbo la hedhi ni maumivu anayo yapata mwanamke wakati wa hedhi.
CHANZO CHA MAUMIVU
1. Kuvurugika kwa mfumo wa Hormone
2. Uvimbe ndani ya kizazi
3. Matumizi ya baadhi ya madawa...
Habari wadau,
Perfect ALuminium Fabricators inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua...
EARPHONE ZA KISASA OFFER ARUSHA UNALETEWA MPAKA ULIPO
jipatie earphone za KISASA za Samsung kutoka Vietnam
Ni imara na zinadumu
Ni za KISASA na zinadumu sauti na bass nzuri
Bei ni 8000 tu na...
Wakuu kwa mwaka huu wa kilimo nategemea kuzalisha kwa kiasi kikubwa sana zao la Mhogo kama tani 150 hivi ,na naamini hili nitarifanikisha kwa sababu nimetengeneza kikundi cha kilimo ili tuweze...
Pata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataamu waliobobea katika taaluma hii.
Huduma zetu ni.
Kuuza chakula cha samaki ambacho kinalishwa kwa kuanzia kifaranga mpaka samaki wa kuvuna.
Ushauri jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.