Habari zenu wanajamvi!
Natafuta shamba la bei rahisi kidogo mikoa ya Mtwara na Lindi linalofaa kwa kilimo cha Korosho, mwenye nalo tafadhali tuwasiliane.
Jipatie mafundi bora Na paver bora TOKA Recon Ni mafundi wanaojua kazi vzuri Na Tupo Kwa Ajili yako Ni rahis Tu piga Au watsapp +255757020067
www.reconwajenzi.com
mambo vipi wakuu , nauza hiyo simu Nokia E6 kwa full details zake google full specification. bei inaanza 220,000/= na maelewano yapo. contacts 0715-388666
nauza nokia e6 ikiwa charge,earphone na cable ya otg kwa ajili ya kusoma flash + keyboard + mouse pamoja pia na tv out cable kwa ajili ya kuangalizia kwny tv na memory card ya 32gb...
Spec za...
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Nyakasangwe, karibu na shule ya NuruNjema nursery & Primary school.
Kiwanja kimepimwa ila hati bado hatujakabidhiwa, kuna nyaraka za serikali za mitaa.
Urefu wa...
*Tangazo la kupotelewa na vyeti*
Ndugu zangu watanzania nawasalimu majina yangu ni *Paul Alfredy Mpiluka* mzaliwa wa Iringa vijini jimbo la Kalenga mnamo siku ya tar 04/05/2018 majira ya saa...
MBISERE CROSSBREEDING
Ni Wauzaji na wasambazaji wa vifaranga na mayai, pia tunatoa huduma ya utotoleshaji wa mayai.
Tunauza vifaranga wa
Izarel
Malawi
Croiler vifaranga wa nyama
Broiler
Pia...
Wadau
Nahitaji mwamvuli mkubwa au turubai la kufunga nje ya nyumbani kwa ajili tu ya kuzuia jua au mvua ambapo watu wanaweza kukaa comfortably.Sehemu ninayokaa kuna upepo mwingi wakati mwingine
AMIS ni mfumo ambao unatumika kuhifadhi kumbukumbu za wanachuo na pia inauweza wa kupokea malipo yote yatakayofanyika tupitia Bank pamoja na mitandao ya simu.
Link ya mfumo: <img...
Nauza iPhone 7plus 128GB mpya cjaitumia toka imeletwa full equipment bei 780000 tu kama unahitaji njoo Dm
Au tuwasiliane hapa hapa kwanza tukikubaliana tutaona namna ya kufikiana
Location ...
DVR yenye screen hapo hapo pamoja na camera zake 4 pia na router zinauzwa,zimetumika muda mfupi sana.
Hii inawafaa kwa wale wanaotaka kufunga security camera nyumbani,dukani n.k.
DVR hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.