Nyumba inauzwa-mbezi ya kimara

Nyumba inauzwa-mbezi ya kimara

victormztz

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
1,111
Reaction score
614
Nyumba inauzwa,ipo mbezi ya kimara,barabara ya kuelekea kinyerezi tabata au malamba.
mita 15 kutoka barabarani.

Eneo,25×25 mt
Nyumba ina vyumba 4,kimoja master.
Sitting room 2.
Dining room 1.
Kitchen&store.
Public toilet&bathroom.
Garage.
Umeme.

Bei:58mn

Kwa maelezo zaidi:0712668190
 
Attachments

  • 20180505_132659.jpg
    20180505_132659.jpg
    170 KB · Views: 108
  • 20180505_132603.jpg
    20180505_132603.jpg
    162 KB · Views: 119
jengarealestate-20180505-0010.jpg
jengarealestate-20180505-0006.jpg
jengarealestate-20180505-0007.jpg
jengarealestate-20180505-0008.jpg
jengarealestate-20180505-0009.jpg
jengarealestate-20180505-0003.jpg
jengarealestate-20180505-0002.jpg
jengarealestate-20180505-0004.jpg
jengarealestate-20180505-0001.jpg

Hii inauzwa 47M iko Kivule.Kama wewe ndio mteja utachagua ipi?
 
Muda c mrefu patakua mji, wengi sasa wanakimbilia kujenga nje ya mji...
 
Yani kivule pasikie tu huko ni balaa yani ukifika msimu wa mvua utajuta,kama sio mtu wa kutoka kwenda mjini fresh ila kama ni mtu wa mishemishe itajuta kukaa kivule
 
kivule ndo wapi?
Ni jirani na Nanjilinji,
Baada ya Kona ya Kiborloni,
Kushoto kwake ipo Barabara ya Nkasi kuelekea Mbalizi ni baada tu ya ile teremshi ya Sekenke kwa Upande wa Miono.

Huyo jamaa Mchawi,
Badala ya kufungua Uzi wa Biashara yake analeta maroroso yake hapa.
Sipendi Ujinga-ujinga huu.
Aarrgrrrr!!
 
Yani kivule pasikie tu huko ni balaa yani ukifika msimu wa mvua utajuta,kama sio mtu wa kutoka kwenda mjini fresh ila kama ni mtu wa mishemishe itajuta kukaa kivule
Kivule hapana. Hiyo stress ya kuishi huko kipindi cha masika sio mchezo.
 
Kaka hili bandiko si ungelifungulia uzi wake?😀
Halafu hizi si ndio zile za jenga uza,baada ya muda mfupi unaanza kukumbana na majanga!
Halafu hivi unaweza kuishi kivule na ukahisi bado upo daslam😀
 
Ni jirani na Nanjilinji,
Baada ya Kona ya Kiborloni,
Kushoto kwake ipo Barabara ya Nkasi kuelekea Mbalizi ni baada tu ya ile teremshi ya Sekenke kwa Upande wa Miono.

Huyo jamaa Mchawi,
Badala ya kufungua Uzi wa Biashara yake analeta maroroso yake hapa.
Sipendi Ujinga-ujinga huu.
Aarrgrrrr!!

Kaka basi msamehe😀
 
Kaka hili bandiko si ungelifungulia uzi wake?😀
Halafu hizi si ndio zile za jenga uza,baada ya muda mfupi unaanza kukumbana na majanga!
Halafu hivi unaweza kuishi kivule na ukahisi bado upo daslam😀

Mkuu kwanza uniwie radhi kama nimekukwaza , kimsingi hiyo nyumba si mimi ninaeuza na nimeliona tangazo sehemu na nimeweka kama sehemu ya mchango na sio kama natangaza na ndio maana sijaweka mawasiliano yoyote wala sijajibu PM yoyote maana hata mmiliki simjui

Nilikua naweka tu changamoto
 
Wala usihofu,best.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom