Ni kwel mkuuUngeweka na bei,,je huyo mtu awe na mtaji wa kiasi gani n.k
Sio bepari huyuHakuna biashara iso na masharti. Weka masharti yako tuone kama yanawezekana. Je, hao samaki wewe ni mvuvi?? Mtaji unaohitajika ni kiasi gani?? Nitawapataje hao samaki na wewe utapataje hizo pesa?? Yapo mengi unahitaji kutiririka hapa.
Sio bepari huyu