Nimeiona hii....Viti 100pc vyote vyeupe bado vipo,kwa anayehitaji anicheki 0714 345 432...tufanye biashara!
...viti ni vipya, hapo kwa picha ni vumbi vumbi...vimetumika kidogo sana...hakuna bei hiyo chief...tumia simu ziko hapo kama huko seriously na hivyo viti...!Nimeiona hii
Sasa nitakutafutia 7000 kwa kila kimoja, nitakuwa makini kama kuna vibovu tutavitoa au kupunguza Zaidi
Karibu tujadili au nipe go ahead nikutaarifu lini nipo tayari
...viti ni vipya, hapo kwa picha ni vumbi vumbi...vimetumika kidogo sana...hakuna bei hiyo chief...tumia simu ziko hapo kama huko seriously na hivyo viti...!