Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,660
Habari?
Wanajamvi, nimenunua mashine ya kutotolesha vifaranga hivyo napata changamoto ya malighafi yaani mayai. Hivyo nanunua mayai ya kienyeji yawe yanatokana na kuku halisi wa kienyeji.
Mwenye nayo au anaemjua supplier yeyote anayeweza niuzia mayai 500 kila mwezi kwa miezi 4 tuwasiliane PM kwa makubaliano ya bei na mengineyo.
Mimi napatikana Mbeya na vizuri kama supplier atakuwa Mbeya na maeneo ya jirani yaani Sumbawanga, Tunduma, Songwe, Mbarali, Makambako, Njombe, Iringa, na Morogoro
Asanteni!