Mimi nipo mpakani na Malawi huku lakini nakumbuka maduka mawili makubwa ya wachina , jaribu hapo unaweza kupata. Jaribu UFI na makutano ya Bibi Titi/Morogoro road kuna duka la wachina upande wa kulia ukitokea Ubungo.Samahani nisaidiwe kupata pampu ya sola yenye uwezo wa kuvuta maji umali wa mita 100 yenye ujazo wa inch 1¼ na kutoa inchi moja no kiasi gani