Simu za mezani (Wireless )

Simu za mezani (Wireless )

DONALD

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
275
Reaction score
35
Biashara ya simu za mezani, unaweka line ya aina yoyote ile (vifurushi kama kawa),ina kaa na charge kwa siku 7,ina radio na pia inatuma na sms...kwa TZS100,000/-..ukiwa Dar city centre,delivery ni free...pia tunatuma na mikoani...kwa watakaohitaji..!
Ni nzuri kwa familia kubwa yenye (mahouse boys &girls),kwa vijijini pia na zaidi kwenye ofisini zetu...ina save gharama the sana...
Kwa orders,pl nicheki 0714 345 432/0685 779 278(whatsapp)..!
IMG-20180329-WA0005.jpeg
IMG-20180329-WA0002.jpg
 
Simu nzuri hizi, zinafaa kwa wale wenye simu za mkononi lakini hawakai nazo. Unampigia mtu simu kumbe kaeka simu chumbani yeye anatizama TV ukumbini.
 
Biashara ya simu za mezani, unaweka line ya aina yoyote ile (vifurushi kama kawa),ina kaa na charge kwa siku 7,ina radio na pia inatuma na sms...kwa TZS100,000/-..ukiwa Dar city centre,delivery ni free...pia tunatuma na mikoani...kwa watakaohitaji..!
Ni nzuri kwa familia kubwa yenye (mahouse boys &girls),kwa vijijini pia na zaidi kwenye ofisini zetu...ina save gharama the sana...
Kwa orders,pl nicheki 0714 345 432/0685 779 278(whatsapp)..!View attachment 743023View attachment 743024
Ina support 4G
 
Ina save gharama gani wakati inatumia vifurushi vya mitandao husika kulingana na line utakayoweka na kwa bei ile ike??
 
Ina save gharama gani wakati inatumia vifurushi vya mitandao husika kulingana na line utakayoweka na kwa bei ile ike??
...simu moja mnatumia nyumba nzima!
...una uhakika ukipiga simu nyumbani utapata mtu wa kupokea na kupata taarifa inazotaka kwa wakati...house au houseboy hawatakuwa na excuses za simu ilikuwa mbali etc..!
 
Nimegundua uzuri mwingine wa hii simu sio lazima ikae nyumbani tu,ukipenda unaweza kutembea nayo na ukapata mawasiliano kama vile unavyotumia mobile phone..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

I have a dream.
 
Nimegundua uzuri mwingine wa hii simu sio lazima ikae nyumbani tu,ukipenda unaweza kutembea nayo na ukapata mawasiliano kama vile unavyotumia mobile phone..
ili utembee nayo simpaka ununue bag, ya nn yote hiyo wakat simu ya ya 25,000 inamaliza kila kitu
 
...Simu zipo na rangi hii pia...kwa mwenye kuhitaji 0714 345 432 na 0685 779 278[emoji118] whatssap...!
IMG_20180505_073915_805.jpg
20180425_163431.jpg
 
Back
Top Bottom