Wakuu habari, poleni na majukumu,
Tafadhalini sana nilikua naomba kuelekezwa mahali ninapoweza kupata mota za mashine za kusaga nafaka kwa hapa Dar es Salaam au kama kuna mtu anazo anijuze hapa...
Salaam wandugu.
Well, nahitaji kuchimba kisima katika eneo la Kinyerezi ila kiwe cha maji ya kawaida na wala sio ya chumvi.
Sasa naulizia kwa wataalam wa uchumbaji upo utaalam wa kujua maji...
Kununua printer pasipo kujua tofauti zake ni sawa na kununua mbuzi kwenye gunia.
Unaitaji kujua namna ya kuchambua tofauti zilizopo katika Printers kutokana na namna zinavyo fanya kazi namna...
“Application of EM technology has the potential to contribute significantly to the general improvement in our state of health and to sustain this in a number of ways: by affording greater...
Unasumbuliwa na simu yako tablete ...
Fundi niko kariakoo mtaa walindi na Msimbazi gerezani,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna...
Wadau salama,
Nina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kuzalisha magari yanayotumia umeme na gesi asilia hapa nchini Tanzania.
Natafuta wabia wa kushirikiana nao wanaoweza ingiza mtaji ili tuanze...
Ofa bado inaendelea kama ifuatavyo.
1.Eneo:Michese
umbali toka city center:8 km.
Ukubwa wa kiwanja:hatua 32 urefu na hatua 34 upana.
Hati:Hati ya kijiji na halijapimwa ila Manispaa itapima soon...
Za leo waungwana, kwayeyote anayejua wapi nitapata mtambo mdogo wa Bio gas wa ng'ombe wasio zidi wanne ( Zero grazing system) na CCTV Camera mbili naomba anifahamishe wapi naweza pata na bei zao...
Nauza fitness tracker brand ya Makibes.
Inapima Blood pressure (bp), heart rate (bpm), kiwango cha oxygen katika damu (PO2), hatua ulizotembea (steps counter) na track sleeping time.
Ikiingia...
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nina mpango wa kuchimba kisima cha maji Dodoma nje kidogo ya mji.
Naomba kujuzwa gharama za awali, za uchimbaji, na kampuni nzuri ya uchimbaji mkoani dodoma,.
Kama kichwa cha habari kisemavyo naomba mnisaidie upatikanaji wa huduma ya laser hair treatment kwa Dar au Dodoma na gharama yake per session.Na itakuwa vyema ukinisaidia na mawasiliano yao .
Wadau mbalimbali, salama?
Mimi ninafanya utafiti mdogo wa biashara ya utengenezaji wa kandambili za kawaida kabisa, wengi wengi tunatumia ktk namna mbalimbali.
Sasa nauliza wataalamu au wenye...
Yuni Company tunafanya utafiti wa maji chini ya ardhi kabla ya kuchimba kisima(geo-physical survey) kwa gharama nafuu kabisa katika mikoa yote nchini, Na pia tunakuunganisha na kampuni ya...
Sim laki 3..300000..ina internal storag ya 32gb
Ram ya 2gb
Camera 16mp
Ni mpya..
Ina uwezo mkubwa sana..
Nipo ubungo usiku..tegeta mchana..
0713099309 nipo.watsap.pia
Bei laki 3 tu.
300000 tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.