Uwanja unauzwa Mbeya mjini

Uwanja unauzwa Mbeya mjini

mwakyindi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2018
Posts
1,627
Reaction score
2,212
Uwanja upo Mita chache kutoka chuo science and technology Mbeya (must) Umeme maji vyote vipo.sim no 0766857120
 
Uwanja upo Mita chache kutoka chuo science and technology Mbeya (must) Umeme maji vyote vipo.sim no 0766857120

Usiporekebisha tangazo lako sidhani kama kuna MTU atakupigia
Ni vizuri ueleze
Ukubwa wa kiwanja
Kina hati au hakina
Bei n k bila hivyo tangazo lako limekaa kitapel maana umeandika kama unakimbizwa vile
We mwenyewe ukirudia ulichokiandika hapo lazima ucheke maana hakieleweki mkuui
 
Okay mkuu Uwanja una urefu wa mita 90 upana mita 50 Uwanja hauna hati bei mil 25 kalibu Sana mkuu
 
Back
Top Bottom