Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Line ya wakala pamoja na kitabu na sticker vyote 120,000 0766639727 karibuni Biashara asubuhi jioni mahesabu
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Bati zinauzwa kwa bei poa kabisa ya shilingi 270,000/ kwa bandari moja. Ukubwa wa bati hizo ni: 1. futi 8. 2. Geji 30. Mwenye kuhitani njoo inbox.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inauzwa hyo mashine Imetumika mwaka mmoja na kuchange toner 3 jumla imetumia toner 5 hadi sasa...... 1.2m fixed haina tatizo lolote la kiufundi Narudia ni mpyaaaaaaaaa Ukiitaka ni PM fasta 1.2M
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Ninauza mafuta ya nazi yanii pure coconut oil yaliyokamuliwa na machine (colourless kama maji yalivyo ila mazito) kuanzia lita moja kwa sh9000 napatikana Dar karibuni Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Aina ni LG,ukubwa (20 inch) number ni E2041 ni mpya kabisa kutoka kwenye maganda yake, bei ni 180 karibuuu Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Samsung j2 Inauzwa 140,000 haina hata scrach iko poa bila mchubuko wowote nipo kigambon Dar kwa Anaye hitaji nipigie 0719939551
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta laptop ya aina yeyote ile nimeshakula hela ya watu na mteja kaja anataka laptop yake,chakufanya hapa kwa mwenye laptop yeyote ilimradi tu IWE nzima iwake,port zifanye Kazi,Touch Pad...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mahali Singida Mizani,Sqm 8000,Pump 4,jengo la ofisi na Biashara(Mini-Supermarket),Bei ni Tsh 400Mil.Contact:0714317448.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ndugu,inaitajika gari tajwa hapo juu kama unayo nitafute hapa 5m cash ipo,lkn iwe mkoa wa mwanza 0689211494
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Smartwatches available
0 Reactions
13 Replies
1K Views
iPhone 7 matte black 32gb new boxed with everything 1.15m
0 Reactions
3 Replies
806 Views
Device sold is in a new condition FULL BOXED. 32Gb internal, 3Gb RAM, 13MP camera both sides and designed for low light clicks, 4G capability for both sim, 5.5 inch display, color black. 1920*1080...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wana jf.... Nauza tecno c9.. Imetumika MWez 1 tu... Mwenye uhitaj aniinbox....kwa wakaz waliopo Dar es Salaam tyu
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Simu inauzwa aina tecno c9 ni mpya aina matatizo yoyote Bei ni 300000tsh 0786544846
0 Reactions
2 Replies
908 Views
280,000. Bei haishuki ina miezi mitatu toka inunuliwe
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Naombamtu anisaidie 70,000 jioni narejesha bond naweka cm nashida ya haraka..namba yngu ni 0788 607493
0 Reactions
8 Replies
910 Views
Nimeitumia miez 6 tu bado ni nzima kabisa. Nimepewa zawadi ya Simu ndio maana hii nauza. Bei 180,000/= Ukihitaji ni inbox tuongee
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Site ya biashara Arusha inakodishwa. inafaa kwa biashara yoyote. in umeme na maji Kufika ni vizuri zaidi kuliko picha. Kodi ni maelewano. kwa mawasiliano zaidi wasiliana na namba 0653 954094
0 Reactions
1 Replies
621 Views
Wadau watoa mikopo kwa riba nafuu naomba mkopo tajwa hapo juu nimepata tatizo la ghafla marejesho ni mwisho wa mwezi huu yaani tarehe 30/5/2018, napatikana dar.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom