Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu, Wapi naweza pata moja ya simu hizi za Huawei Brand new. Honor 9/10 P 10 P 20 Kama kuna dealer humu aweke bei tafadhali na mahali zinapopatikana
0 Reactions
1 Replies
829 Views
D-TECS tumekuja na offer kabambe na ya muda mfupi kwa wale wanaopenda kumiliki blog, website au domain name zao wenyewe kwa bei nafuu kabisa. 1.Domain name - Tsh.12,000/year (.online .site .tech)...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A Cafe in City Centre is looking for a Manager. - Working hours will be 3pm to 11pm. - Must be flexible with working hours - Must have previous restaurant management experience - Must be...
1 Reactions
7 Replies
876 Views
  • Closed
Ndugu wanajf naomba mnisaidie kusambaza taarifa za kupotea Ndugu Vitalia Mung'ong'o ni mwenyeji wa Njombe Ila kwa Sasa alikwepo Kwa kijana wake Dar mitaa ya Makuburi kibangu. Alipotea jana Tarehe...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, natoa mafunzo ya kujiajiri binafsi kwa njia ya mtandao yaani Whatsup group(Darasa).Masomo yatolewayo;- ~ Utengenezaji Sabuni za maji ~ Utengenezaji ubuyu ~ Utengenezaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Plot ipo Njiro, block c...square metre 1700, bei 120m. Title deed ipo ya 99yrs. Hakuna dalali katikati.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Imeshatembea-1,565,555 km Bado ina hali nzuri Bei Tsh Millioni 6 Njoo pm Au mcheki mama Anangile namba zake zipo hapo kwenye mlango wa Gari
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ricoh Aficio 1515MF IPO vzuri ilikua inatumika privately IPO vzuri haina shida ni kuchukua na kuanzia biashara tuu.. Imetoka Germany Bei Tsh 450,000 Location: Magomeni Dar es salaam Contacts...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NINI: Shamba la ukubwa wa hekari 27 linauzwa WAPI: Lipo kijiji cha mkuzi,kilichopo kilometa 7 toka kilwa road, eneo la Mwanambaya hatua chache toka kiwanda cha Bakhresa cha Mwandege.Kijij hichi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunakodisha na Kuuza vifaa vya barabara na ujenzi. Tunapatikana Daressalam, Dodoma na Singida. karibu sana. 0654919121 0758919121 0624070833
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana wa Taifa la Mungu, Naomba kama Kuna Truck Driver anayekuja Arusha kutoka Dar, Morogoro Au Tanga naomba aniwekee hapo gunia Moja please .Ni msaada naomba please. . Asante sana Taifa la mungu,
0 Reactions
8 Replies
1K Views
SPECIFICATIONS: HARD DISK : 500GB RAM : 4GB PROCESSOR : 1.60GHZ BATTERY: INAKAA NA CHARGE MASAA 4 COLOR - BLACK BEI TSHS: 440,000/= MAZUNGUMZO YAPO LOCATION : KIJICHI DAR ES SALAAM...
0 Reactions
1 Replies
593 Views
Ndugu zangu Tunsifu Yesu Kristu, Bwana Yesu asifiwe, Asalaam Aleykum, habari zenu nyote, narafuta ukumbi wa kukodisha unaoweza kubeba watu 100-200 uwe na mazingira mazuri ya kujisitiri (vyoo), pia...
0 Reactions
4 Replies
941 Views
Wakuu anayeuza external keyboard yenye USB tuwasiliane..
1 Reactions
6 Replies
900 Views
*LIVINGSTONE HOTEL* Kwa Mahitaji yako ya Hotel Nzuri yenye hadhi ya Kimataifa ndani ya *Bagamoyo* Karibu *Livingstone Hotel* Ukutane huduma bora za Kihotel kutoka kwa staffs wetu wenye *Weledi*...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
*LIVINGSTONE HOTEL* Kwa Mahitaji yako ya Hotel Nzuri yenye hadhi ya Kimataifa ndani ya *Bagamoyo* Karibu *Livingstone Hotel* Ukutane huduma bora za Kihotel kutoka kwa staffs wetu wenye *Weledi*...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Brick tiles ni kama tofali zilizochomwa, ila hizi ni nyembamba ambazo zina mwonekano mzuri na mvuto wa aina yake, zinafaa kunakshi kuta za tv, scatting na kwengineko utakapo ona inafaa ukutani...
1 Reactions
9 Replies
10K Views
Wadau habari za jioni nahitaji kununua blender kwa matumizi madogo madogo tu ya kigheto maana naishi mwenyewe,nilikuwa nahitaji kampuni gani ni nzuri ambayo bei yake aizidi elfu 70
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Heshima kwenu wanajamiiforums. Mimi ni kijana wa kiume, mkazi wa Mbezi Beach B. Ninakuja kwenu kuwatangazia huduma ya kufundisha wanafunzi wa ngazi ya msingi na sekondari masomo ya ziada...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Kifaa tajwa hapo juu kiko sokoni kwa bei ya laki 2 tu. Kinapatikana Dodoma. Ni fridge nzima na haina dosari yoyote, sababu ya kuuza ni dharura tu ya pesa. Nipigie simu kwa 0687...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom