Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wapendwa nauza fb page yangu ina watu 21k (zaidi ya watu elfu ishirini na.moja) Karibuni sana jamani nauzia shida tuu nimepatwa na shida mnoo Karibuni wapendwa Ukihitaji njoo pm
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Msaada wakuu kwa hapa dar wapi naweza pata jezi ya ufaransa namba 6 ila iprintiwe jina langu kwa bei poa, ??? (nazungumzia jezi origional)
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Nauza karanga mkoani tunatuma,kwa aliyeko dar mzigo ukifika ndipo atalipia,kwa mikoa mingine tunatuma kwanza hela ndio tunakutumia ,WhatsApp;+255789139153
0 Reactions
2 Replies
2K Views
update Not working anymore
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania Private Investigation Agency (Now changed to T.P.S.C ) is a licensed firm. We provide adequate investigative services from government case work to private investigations. Our staff have...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanaotaka kuwekeza kwenye miti wanaweza kuniona mashamba yapo Njombe Lugarawa Ugera.Nauza Shamba lenye miti sh.1,000,000 Kwa eka moja,shamba tupu lakupanda mwenyewe sh.600,000 karibu MAWASILIANO...
1 Reactions
55 Replies
9K Views
Wakuu nauza external haddisk mbili 1 tb na 2 tb transend na seagate zote laki tatu 300000
0 Reactions
3 Replies
670 Views
Natumaini ni wazima,, Nauza bajaji iko mbeya mjini, iko katika hali nzuri haidaiwi chochote na watu wala mamlaka yoyote na haijapigwa rangi. Sababu ya kuamuwa kuiuza ni usumbufu na karaha za...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana jamvi! Kama kichwa cha habari kilivyo gusia, 1.Wapi naweza kununua fataki kwa Dsm!? Vipi kuhusu gharama zake? 2. Kuna kibali au taratibu inayo takiwa kufwatwa kabla ya kutumia fataki?
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wataalamu wa techs najua mtanisaidia katika hili,natafuta smartphone iliyo na sifa zifuatazo 1. Memory kuanzia 16 Gb 2. Iwe na quality camera Bajeti yangu ni 300,000-400,000 Tsh Ushauri wenu ni wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu kama uzi unavojieleza, ninatafuta chumba cha kupanga hapa maeneo ya kilwa masoko - Lindi. yeyote mwenye taarifa au mwenye nacho naomba tuwasiliane kupitia 0765-784765 Asanteni
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu, Nauza bajaji ipo mbeya mjini, iko katika hari nzuri haidaiwi na mtu wala mamlaka yoyote. Sababu ya kuiuza ni usumbufu ninaopata unaotokana na madereva wenyewe niliowapa kazi ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nauza mikanda ya kupunguza tumbo ambayo ni ya mtumba. Ndani ya siku 7 tumbo linaisha. Naleta ulipo, bei ni Tshs 30,000/= Call: 0712 620 078
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Heshima Kwenu Wakuu. Natumai mpo okay kabisa, naulizia vile vyuma vya kuunganisha kwa ajili ya mtu kupanda na kuweza kupaka rangi kwenye majengo marefu wakuu. Mwenye navyo au yoyote mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1.Processor Intel[emoji768] Core[emoji769] i74 Mobile Processor Family with Turbo Boost Technology 2. Internal Storage18 750 GB 7200 rpm SMART SATA II HDD (with HP 3D DriveGuard) 3. Display...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Kama heading inavojieleza naomba msaada wanajukwaa kwa anayejua wapi naweza kupata mbegu bora za vitunguu hapo Morogoro anielekeze..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jipatie socks ,vests na Boxer za Jannele Underwears kwa bei nzuri...Free delivery kwa Dar es salaam. Socks= 5000@ Vests ,Boxer=10000@ Piga 0768643685 uhudumiwe. Karibuni sana. Umaridadi huanzia...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Natafuta Daktari (M.D) kufanya kazi katika kampuni ya ujenzi, preferably mwanaume, work station chalinze, salary ni 1.250.000/- .....free breakfast, lunch n dinner....social security and health...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu simu tajwa hapo juu inauzwa, iko katika hali nzuri sana na haina tatizo lolote. ukinunua unaweka line zako unakuendelea na mambo mengine. Kwa mwenye uhitaji piga or whats up namba...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wana jf naimba mnisaidie kuhusu bajaji ,nataka kufahamu bei zake, upatikanaji wake ,aina zake ,na hata Tabia zake. Na yangu ni kutata kuingia kwenye biashara hiyo. So kama kina mjuzi naomba...
0 Reactions
13 Replies
13K Views
Back
Top Bottom