Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Vyuma vimekaza mwenyewe anarudi shamba Anauza kabati la vyombo lipo vizuri la mbao bei 200,000/= Kabati la nguo mbao tupu lina milango yake ila alijafungwa so itahitaji upate fundi aifunge iyo...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Tunauza mashine za photocopy used pamoja na vifaa vingine vya ofisi zilizo katika hali nzuri na ubora..spea zake zipo ..toner pia upo ..na tunatoa warranty ya siku 30, tupo kariakoo mtaa wa lindi...
1 Reactions
16 Replies
16K Views
Habari za Majukumu wadau wa jukwaa hili. Ninaomba kwa yeyote anaye fahamu Wanunuzi au soko la Korosho Kwa mikoa ya Dar es Salaam, Pwani au Morogoro anifahamishe. Naomba pia nipate mawasiliano ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Excellent Training Center, tumeanza maandalizi ya kuandikisha wanafunzi wa programs ya Pre Form I 2018. Wanafunzishwa masomo ya Science na Kusoma French Bure kwa kipindi chote cha miezi mitatu...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Kwa wale wenye kupenda kufanya biashara ndogo ndogo nina vyumba vya kupanga vipo sanawari barabarani kabisa na kuna umeme. kodi yake ni shilingi elfu 40 kwa mwezi ukija tutaongea. wahi mapema...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana jukwaa, natafuta simu used iliyo salama, kwa anaeuza iwe hiyo unayotumia au nyingine tafadhari... Tuma picha(au sema ni aina gano)muda uliyotumia, weka na bei yako na mawasiliano...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
NANE NANE SPECIAL OFFER Kwa wale wanao hitaji huduma ya graphic design, mfano unahitaji logo Banner, Flyers, Bronchures, Stickers, T-shirt design and printing. Nitafute sasa nina ofa yako...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Update: Not working anymore.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa wale wenye kupenda kufanya biashara ndogo ndogo nina vyumba vya kupanga vipo sanawari barabarani kabisa na kuna umeme. kodi yake ni shilingi elfu 40 kwa mwezi ukija tutaongea. wahi mapema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAASISI YA ARDHI DAR ES SALAAM (INSTITUTE OF LANDS DAR ES SALAAM) INAWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE NA CHA SITA NA UMMA KWA UJUMLA NAFASI ZA MASOMO YA ASTASHAHADA NA...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Naomba kujulishwa kwa Dar naweza kupata wapi hivi vifaa vinavyotumika kwenye restaurants kuhifadhi joto la chakula (food warmers). Nataka inayotumia gas na inayotumia umeme.
2 Reactions
0 Replies
907 Views
Natafuta simu ya kutumia smart nzuri bajeti yngu 200 k niko dodoma
1 Reactions
12 Replies
2K Views
LG 49" LED TV Full HD MODEL EU Series LH510V Screen Size 49 VESA Vesa Size 300x300 DIMENSIONS - WXHXD (MM) Size W/O Carton, W/O Stand (Including SOUND BAR) 1108*657*81.5 Size W/O Carton, With...
0 Reactions
0 Replies
955 Views
  • Closed
Samsung Galaxy s6 inauzwa bei hiyo hapo juu. Samsung galaxy s6 imeumbwa kwa body ya glass mbele na nyuma pembeni aluminium, sasa imedondoka na kuvunja kioo cha nyuma, kwa hiyo ninauza ili...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wakuu?. Poleni kwa kuwa off-air kwa hizi wiki 3, kiukweli maisha yalikuwa magum bila JF. Ok shida yangu ni kuuliza wapi nitapata mashine ya kutotoresha vifaranga yaan 'incubator'. Nahitaji...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Wakuu nahitaji Modemu Ya Airtel ama Halotel ama Isiyotumia laini yoyote. Nipo Dar
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau wa JF naombeni mnisaidie nijue bei za Simtank za ujazo wa litre mbali mbali. Sana sana natamani kujua bei ya Simtank la litre 5000 (elfu 5). Nitashukuru sana[emoji120]
0 Reactions
5 Replies
6K Views
bila kujali mkoa uliopo tuma requirement zako kwa mahitaji ya: Quality Graphic designs •logos •posters •flyers •banners •stickers •business cards •ID etc website design and development; pata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada nahitaji kujua sehemu nayoweza kupata vioo vya tv Flatscreen LG na Samsung kwa hapa Dar ikiwezekana na fundi wa kubadilisha.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Back
Top Bottom