Kiwanja kinauzwa Buhongwa, Mwanza

Kiwanja kinauzwa Buhongwa, Mwanza

frank mayige

Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
61
Reaction score
11
Habari wadau kwa wakazi wa Mwanza,

Kiwanja kinauzwa kuna nyumba ambayo haijaisha ambayo inahitaji tofali 800 kufunga lenta ina vyumba 3 pamoja na master bed room maji yapo karibu pamoja na umeme upo karibu;
Mahali: Buhongwa
Mtaa: Semba/kwa mwenyekiti
Ukubwa: Urefu 40 * Upana 24, Kimepimwa tayari.
Bei Tsh. 10, 000,000
Mawasiliano: 0757785804 nicheki tuongee mimi sio dalali ni eneo langu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom