Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,444
- 25,358
Naomba mnitajie novel za kiingereza na vitabu vya ujasiriamali vya kiingereza ili niongeze ujuzi wa lugha na maarifa.
Mkuu hiyo novo inazungumzia nini hasa ili nikaitafute?Grassland of the savanna- Chinua Achebe
Mkuu unaomba utajiwe au utumiwe?Naomba mnitajie novel za kiingereza na vitabu vya ujasiriamali vya kiingereza ili niongeze ujuzi wa lugha na maarifa.
Sorry wakuu nilimaanisha ANTIHILLS OF THE SAVVANAHGrassland of the savanna- Chinua Achebe
Ni political story inayohusu imaginary nation of Kangan which experiences a coup De tat under His excellence Sam....... . Humo ndani utakutana na wahusika muhimu kama Chris Oriko, Beatrice na Osidi ( who will later be murdered).Mkuu hiyo novo inazungumzia nini hasa ili nikaitafute?
Huyo jamaa ni fundi haswaaa......Tafute novel za james hadley chase.ni nzuri.jaribu moja,the world in my pocket
Download novel za Tom wood na Tom clancy,
manovel ya kijasusi kama wayapenda ndo yako chati saa hii
Umetaja hao authors nimesisimka kama nimeonyeshwa ukwaju.... U know wara am seing.... I can sacrifice my sleep for these authors. Shule nlikua niko radhi nimnunulie mtu mandazi just so I can read after them novel za hao watuThe other side of the midnight by sedney Sheldon. Au wind mills of God same author. Zinasisimua. Au yafta yoyote ya Daniel steel