BlackBerry passport kwa ajili ya spare inauzwa..imeharibika connector za keyboard kwenye motherboard..ukiweka motherboard nyingine inafanya kazi vizuri tu mkanda wa keyboard bado mzima kabisa...
Habari wana JF mm ni mjasiliamali wa kuuza kuku wa kienyeji, natafuta wateja ambao wanauwezo wa kununua kwa jumla, Nina kuku zaidi ya 150 majogoo kwa mtetea, nipo Dsm kwa mawasiliano zaidi piga...
Habari wakuu,nina ndoto za kufanya ukulima na ufugaji kuwa ndio ndoto yangu ya maisha,changamoto kubwa ni wapi nitapata mafunzo ya ukulima na ufugaji kwa muda wa miezi,mwaka mmoja au miaka...
NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health
(TTCIH) anawatangazia nafasi za kujiunga na chuo mwaka wa masomo 2018/2019.
TTCIH...
Habari wadau kwa wakazi wa Mwanza,
Kiwanja kinauzwa kuna nyumba ambayo haijaisha ambayo inahitaji tofali 800 kufunga lenta ina vyumba 3 pamoja na master bed room maji yapo karibu pamoja na umeme...
Used laptop inauzwa, imetumika miezi michache na ina tatizo kwenye kioo. Kioo kilipata hitilafu, kitu cha ncha kali kiligonga. Napatikana Dar, mawasiliano WhatsApp
Habari za Jioni;
Napenda kuchukua fursa hii kuwaalika watu wote wanaopenda kujifunza kutumia fursa zinazoletwa na tehama ili waweze kupata mafunzo maalum ya Ujasiriamali wa Kidijitali (Digital...
Habari wakuu,
Natafuta duka au mtu amabe anaweza kuniuzia hii dawa ya Snow foam kwa ajili ya kuoshea magari. Nilikuwa nanunua pale karcher lakini hawana tena na kila nkiwapigia simu wananambia...
Wakuu habari!
Jamani kama kuna mfanyabiashara yoyote aliyepo Dodoma mjini anaenunua mchele kwa bei ya jumla naomba ani_inbox. Bei 1,700/kg Kuna gunia 200+ za mpunga tunakoboa kwa oda. Aina ya...
Hello
Natafuta wafugaji wa kuku wa kisasa,kwa mwenye uwezo wa kufuga kuanzia kuku 5000 maeneo ya Dar.Tukielewana tufanye biashara.
PM kwa aliye interested.
Asante
Nyumba iwe na
4 to 5 bedrooms
Swimming pool is an advantage
Big yard
Potential Area
Budget ranges from Tsh:400m to 600m
Owners only
Possible viewing mid of July
Locations: Dar na Tanga only...
Habarini wa Dsm mimi nikijana nipo nje ya dar es salaam ila natamani kufanya biashara dar es salaam lakin katika maeneo ambayo siyo ya watu wenye uwezo wa juu ila nataka katika maeneo ambayo kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.