Wana JF kuna mzigo ninataka kulipia Kenya. Sasa kuna rafiki yangu ameniambia kuna baadhi ya wafanyabiashara wapo hapa Dar es salaam wana line za Safaricom na huwa wanafanya hii biashara
Yaani wewe...
Habari za Majukumu wana Jukwaa. Naomba kwa yeyote anaye jua Wanunuzi wazuri wa Korosho Kwa Dar es Salaam, Pwani au Morogoro. Naomba kufahamishwa, ninao mzigo wa kutosha mahitaji mnunuzi serious...
Habari zenu wakuu,naomba mwenye kujua bei za mashine zifutazo anifahamishe na mahali zinakopayikana na za kumenya mpunga
SB 30
SB 50
Bei yake kwa tz wadau
WhatsApp no +255789139153
Habari ndugu zangu
Uzi huu ni maalumu kwa watu wanaotaka kununua vitu nje ya nchi na wanashindwa jinsi ya kuvipata kwa wakati au kuogopa upotevu wa bidhaa yako. Ninakurahisishia kwa kukupa address...
Wapi naweza pata toners za hp (compatibles) za bei rahisi kwa Dar es salaam , au watu wa ku refill lakini waweze kufanya packaging nzuri
Comment hapa au inbox.
Thanks
habari zenu wapendwa, natoa mkopo kuanzia shilingi laki tano mpaka milioni moja kwa wenye magari tu! kwa atakaependa awasiliane nami kupitia 0716 002323. vigezo na masharti yangu kuzingatiwa!!!
Natafuta Kiwanja Dodoma, kuanzia ukubwa wa 450 sqm
Ofa: Mil. 3.5 had 4, Kiwanja kiwe kimepimwa
Maji na umeme viwe karibu, barabara (daladala) iwe inafika.
Pasiwe mbali na mjini (Isizidi km 15)...
Nauza TV Solamax inch 32, inatumia umeme 110/240V, na sola.Port mbili za USB yan sehem mbili za kuchomekea flash, HDMI port mbili pia, Port VGA kwaajili ya computer, output Av. TV ni mpya haina...
Habari wadau;
Napenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na mafunzo maalum yatakayotolewa katika ofisi zetu zilizopo Dar es Salaam.Mafunzo haya pia yanapatika katika mfumo wa Private study ambapo...
COMPANY NAME: MUGETA FARMS
TRADEMARK/BRAND NAME: VICTORIA FINEST
KUHUSU BIASHARA:
Mugeta Farms co. ltd ni kampuni changa (startup company), kwa sasa inajihusisha na value addition ya dagaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.