Nauliza kwa hela hii nitapata simu ipi ya Samsung?

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Ndugu wana jamvi natumai mko poa. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa bei ya simu aina ya Samsung. Je kwa laki tano nitapata simu ipi ya samsung kwa hapa dar, iwe mpya na original.
 
kwa hela hiyo hiyo na inabaki ingia ebay au amazon tafuta used Iphone 6s, kilichotumika nje sio sawa na kilichotumika bongo, me nafaidi iphone 6 kwa Tsh. 380,000/= sichangii chaja na mtu na sio kitu kilicho zagaa
[emoji23][emoji23]
 
Naomba ujuzi wa kununua amazon , process zake zipo vp?
 
ingia kwenye jukwaa la biashara utauona uzi unao ongelea jinsi ya kufanya manunuzi mtandaoni, inachuku siku 14-21 unadaka mzigo wako
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Galaxy J7 Neo unapata kwa 450 sealed box. Ukiwa interested nayo niambie mkuu
 
kwa hela hiyo hiyo na inabaki ingia ebay au amazon tafuta used Iphone 6s, kilichotumika nje sio sawa na kilichotumika bongo, me nafaidi iphone 6 kwa Tsh. 380,000/= sichangii chaja na mtu na sio kitu kilicho zagaa

Umaskini wa akili ni shida sana, unaulizwa Samsung, budget 500,000/=, Dar! Unatoka ulikotoka unakuja na iPhone 6s Amazon.
 
kwa hela hiyo hiyo na inabaki ingia ebay au amazon tafuta used Iphone 6s, kilichotumika nje sio sawa na kilichotumika bongo, me nafaidi iphone 6 kwa Tsh. 380,000/= sichangii chaja na mtu na sio kitu kilicho zagaa

[emoji3]roho mbaya utawajua tu!
 
Ndugu wana jamvi natumai mko poa. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa bei ya simu aina ya Samsung. Je kwa laki tano nitapata simu ipi ya samsung kwa hapa dar, iwe mpya na original.
Ndiyo unapata lakini mtumba
 
Hiyo laki tano kwa nini usiiwekeze kwenye kilimo?
 
Back
Top Bottom