Chumba masta sinza

Chumba masta sinza

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,072
chumba masta sinza kinapatikana(Tiles +Gypsum) , kipo viizuri sana..bei 150k kwa mwezi .. kodi miezi 6..

kipo sinza karibia na law school.

wahi mapema..

wa kwanza kuweka order na mzigo ndio wa kwanza kupata.

0718274828
 
Kwa 150,000/= hakuna atakayeweka order.

Pia ungeweka details zote, picha za chumba na mazingira etc.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom