Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza hdmi cable mita 25 ipo katika hali nzuri ni mpya haijawai kutumika sema ilikuwa stoo
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu! Nahitaji kuanzisha biashara tajwa hapo juu wakuu, Maeneo niliyo ya sort la kwanza ni Mbagala na Kimara. Naomba mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie mawazo juu ya mambo...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Model: 55UJ651 Display Display Type LED Screen Size (in.) 55 Resolution 3840 x 2160 BLU Type Edge Video HDR Active HDR └ HDR10 Yes └ HLG Yes ULTRA Luminance Yes...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Machine ya SELCOM kwa ajili kukata. Luku King'amuzi Vocha zote Tigo pesa, Mpesa, Airtel ..... n.k Na huduma zingine nyingi. Machine haina tatizo lolote na ina miezi 3 tu tangu niinunue Ila...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
chuo cha kilimo na mifugo endelevu, mahinya mkoa wa ruvuma kinatoa course za certificate in general agriculture and certificate in animal health and production chuo kimesajiliwa na NACTE...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Salama Wakuu? Ninahitaji used pavement blocks, nipo Arusha. Kama unayo au unafahamu mtu aliyenayo, tadhali tuwasiliane kupitia 0754 754 593. Barikiwa sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nauza contener la futi 20 kwa pesa za kitanzania shilling million 3 contener lipo maeneo ya mbezi kwa mawasiliano zaidi kama unahitaji njoo pm
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nahitaji memory card moja yenye capacity ya 128GB. Naomba kufahamu wapi zinauzwa na price yake, au kama kuna mtu anaziuza nicheck. Nilipita maduka kadhaa kariakoo sijapata ya ukubwa huo, nyingi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Brand new popcorn machine Uses electricity only Large size 1 year warranty 300000/= only Free delivery in dar Whatsapp/call 0672493810
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naitwa yustin nipo arusha ni mwanafunzi wa coz ya umeme diploma arusha technical kwa mafundi umeme ningependa kujitolea ninapokuwa na nafasi kwa mafundi wazoefu wa umeme arusha unaweza nitafuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa wachina wananunua mihogo, na serikali imeingia mkataba. Mwenye kulifahamu hilo kwa upana naomba atufahamishe ili tuuze kwa mara moja mihogo yot Wakuu nawasilisha
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Hii ni kwa Walimu na Wadau elimu hasa kwa shule za Sekondari, kuna hii kazi ya NECTA ya Photo Entry kwa wanafunzi wa Form Two, Four na Six. Nafanya kazi hii popote nchini kwa...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari za humu wanajamvi. Anayefahamu ni maeneo gani hapa Dar wanauza zile board za kuchezea mchezo wa draught na chess pamoja na bei zake naomba anijulishe nahitaji kununua.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Gari ipo safi sana na inafanya kazi,ipo Manyara,usajili DJC,ina engine ya 2rz injection-petrol,inatumia mafuta vizur,kwa alie serious aje akague gar na mazungumzo yapo.nicheki kwa 0621128905
0 Reactions
1 Replies
6K Views
TUNAUZA MABATI KWABEI YA OFA FIKA KIWA NDANI KWETU UPATE MABATI KWA TSH 2000 OFISI ZETU ZIPO POSTA KIWANDA CHETU KIPO BUGURUNI KWAMA WASIRIANO TUPIGIE KWANAMBA 0653186373
0 Reactions
42 Replies
12K Views
Habar wana jf Nauza tecno k9 bei 200k ina hali nzuri ina miez 6 toka inunuliwe haina scratch yoyote ila inatatizo upande wa camera ya nyuma inasumbua ila video calls inafanction na vitu vingine...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Kiwanja kinauzwa sq meter 990. Kiko somangila kigamboni. Bei mil 15 . Kimepimwa na kina hati. Anaehitaji namba ya kunipata ni 0713298900
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu. Naomba kufahamishwa hii mifuko ya kufungia bidhaa madukani inapatikana wapi hasa kwa bei ya kununua ili niuze kwa bei ya jumla? Yaani nataka niwe nanunua alafu nauza kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom