uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,091
naitwa yustin nipo arusha ni mwanafunzi wa coz ya umeme diploma arusha technical kwa mafundi umeme ningependa kujitolea ninapokuwa na nafasi kwa mafundi wazoefu wa umeme arusha unaweza nitafuta 0624040030 napenda kujifunza