Upatikanaji wa mifuko ya kufungia bidhaa

Upatikanaji wa mifuko ya kufungia bidhaa

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,922
Reaction score
4,181
Habari wakuu.

Naomba kufahamishwa hii mifuko ya kufungia bidhaa madukani inapatikana wapi hasa kwa bei ya kununua ili niuze kwa bei ya jumla?

Yaani nataka niwe nanunua alafu nauza kama wanavyouza wale wauzaji wa jumla wa Kariakoo, nk.

fe815433363121309984f354f8a47a61.jpg


Nitashukuru sana kwa ushirikiano wenu wakuu.
 
Mkuu nikushirikishe tu kitu amka mapema nenda pale kariakoo mkamate muuza mifuko ya rejareja wale vijana wale anza kuongea nae kirafiki ili akuonyeshe wanapochukua mifuko yao then wewe ukishafanikiwa kuoajua ongea na huyo mwenye duka mwambie unataka kuanzisha biashara kama hiyo omba mwongozo ila mwambie lokesheni tofauti na hapo kariakoo...
#Ushauri
 
Back
Top Bottom