Kiwanja kipo km40 kutoka kigamboni.
Kina ukumbwa wa mita20 kwa mita20.Kiko jirani na barabara kuu na njia panda kwenda Ufukweni (beach).
Panafaa sana kibiashara kama maduka,mgahawa nk.Umeme upo...
ANAHITAJIKA AFISA MASOKO/MAUZO NJE 5 WENYE ELIMU YA CHEI KUTOKA CHUO CHA BIASHARA KWA AJILI YAKAZI YA KUTAFUTA WATEJA WAPYA WA ASALI NAKUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MASOKO NA KUTANGAZA BIDHAA ZA...
Kuku wa nyama aina ya kroila, wamechanjwa chanjo zote.
Wana miezi mitano na wengine miezi mitatu nawauza kwa jumla.
Wamefikia umri wa kuanza kutaga.
Sababu ya kuwauza ni kwamba nahamia mkoani...
Kama kichwa cha habar hapo juu
Godoro ni jipya kabisa limetumika hata miezi miwil haijafika urefu ni 6*6 upana ni inch 10
Jipya nilinunua 280000 /= kwa sasa nauza 200000\= tu
Napatikana dar...
wakuu kwa mahitaji yote ya vyakula kwa wakazi wa mkoa wa iringa na mikoa jiran kwa chakula bora huduma za kisasa,wahudumu wenye weledi tunakukaribisha eliza house of cakes ukiwa na oda yako...
Natafuta Wateja wa dar-es-salaam na mwanza niwe nawatumia mchele kutoka Mpanda,kwa bei ya jumla nafuu kabixa,
Namba zangu za simu ni WhatsApp +255789139153
Mwandishi wa Habari wa siku nyingi Mike Sikawa (55) amefariki Dunia,Nyumbani kwake Njiro - Arusha siku ya Jumatatu (17.11.2008).Marehemu Sikawa amefarikiki baada ya kusumbuliwa na Ugonjwa wa...
Leo Nov 26, 2008 tunawafungulia baadhi ya waliowahi kufungiwa hapa JF. Wale waliopata server ban (not nick only) nao watakuwa huru kurejea hapa, kuna waliopewa LIFETIME ban nao wanapata msamaha...
Jamani nauza shamba ekari 13 bei ni mil 26 maongezi yapo tafadhali nina shida naomba msaada shamba lina hati miliki na lipo mkuranga km 10 kutoka barabarani kwa mawasiliano wasiliana na...
Ipo ktk hali nzuri kwa kifupi haina tatizo lolote na unaweza kuja na fundi kukagua ipo magomeni.
Cc 1490
Rangi - silver
Transimission- Automatic
Full registered
Used
Full A/C
Condition- In good...
kwa yeyote mwenye kuhitaji kufanyiwa usafi witney cleaning service tunafanya
kusafisha tiles
kusugua kuta
kufanya fumigation maeneo yote
kama unahamia nyumba yako tutaiweka katika usafi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.