NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Heshima kwenu wakuu!
Nahitaji kuanzisha biashara tajwa hapo juu wakuu,
Maeneo niliyo ya sort la kwanza ni Mbagala na Kimara.
Naomba mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie mawazo juu ya mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na
Natakiwa niwe na shilingi ngapi ili niweze kuanzisha.
Malipo kwa vijana wa kunyoa tuseme nimeanza na viti 2 au 3 ni mshahara mwisho wa mwezi au unaweka fedha wanayotakiwa kulaza na inayobaki ndo wanachukua?.
Vipi kuhusu malipo ya umeme unalipwa na mimi kwa kuchukua katika sehemu ya fedha fixed wanayotakiwa kulaza kwangu au wanalipa wao baada ya kukamilisha sehemu yangu?
Nisaidieni na mengine wakuu ambayo kutokana na uzoefu wenu ni ya muhimu.