Wapi wanauza Checkerboard za kuchezea draft Dar?

Wapi wanauza Checkerboard za kuchezea draft Dar?

Maziku-Winston Smith

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
300
Reaction score
173
Habari za humu wanajamvi.

Anayefahamu ni maeneo gani hapa Dar wanauza zile board za kuchezea mchezo wa draught na chess pamoja na bei zake naomba anijulishe nahitaji kununua.
 
Nenda town mtaa wa samora opposite na JM Mall kuna duka lenye vitu vyote hivyo na bei zake rahisi tu.
 
Back
Top Bottom