Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hatukufundishi ili ujibu mitihani, .... tunakufundisha ili ufanye kazi. Wasiliana nasi upate ujuzi utakaokufanya uione dunia kama sehemu nzuri ya kuishi. Yapo mafunzo tunayotoa kwa njia ya masafa...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
habari wana jf! natafuta saloon ya kike kubwa na nzuri hapa mjini,kama unaifahamu saloon yoyote kubwa na nzuri ya kike hapa Dar inayofanya hadi kupamba ma biharusi,Tafadhali unaweza kunitumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta pkpk san lg kwa bei ya jumla au kwa anaefahamu ofice zao zilipo anijuze
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ofisi zetu ziko Salasal mbele kidogo ya kanisa la Nabii Flora Bei zetu ni nafuu na kwa kazi nzuri sana piga simu namba 0657942817 au fika ofisini kwetu. Tunafika kila sehemu Tanzania na nje ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Brand new popcorn machine Uses electricity only Large size 1 year warranty 300000/= only Free delivery in dar Whatsapp/call 0672493810 Instagram @mob_ji
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kiwanja maeneo ya kariakoo Mtaa Magila nyumba namba 13.....karibu na mtaa msimbazi..... Bei 1.2b maongezi yapo..... Karibuni sana.... Piga namba Hii kwa maelezo zaidi..... 0717767875.....
0 Reactions
7 Replies
3K Views
KWA MAHITAJI YA RAMANI ZA NYUMBA WHATSAAP/CALL 0713943775
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tumia IncoPOS system Kwa kumanage biashara yako vizuri Ni mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara yako hasahasa stock na mauzo yako -Unaweza pata taarifa za biashara yako hata ukiwa mbali na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu. Naomba kama kuna yeyote analima au anamfahamu mkulima wa zao la hops (nimeshindwa kupata tafsiri ya Kiswahili) tuwasiliane 0768734611 au 0786817145. Hops ni kile kiungo kinachotumika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naitaji mchanga na kokoto za jumla kwa ajili ya kuuza hapa DSM maeneo ya mbezi ya Moro. Rd. Nataka gari kubwa kabisa. Simu. 0712729015
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Natafuta pikipiki aina ya kibao cha mbuzi.. Weka na bei alienacho
0 Reactions
2 Replies
7K Views
land cruiser VX diesel inauzwa bei ya kutupwa haina tatizo lolote ni kutia funguo na kuondoka asking price 17 milioni mazungumzo yapo ipo DSM for any serious buyer anichek 0652 646722 you wont...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
UPDATE: GARI LIMESHAPATA MTEJA Hello wadau, Nauza Suzuki Carry Milage ni 110,380km Inatembea, haina shida. Matengenezo ni vitu vidogo vidogo kwenye body. Nimekaa nayo miaka 2 Imetumika kwa kazi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nahitaji kiyoyozi kimoja tu kwa ajili ya ofisi yangu, bajeti yangu ni 280,000/= Tafadhali mwenye nacho anauza please DM me.
1 Reactions
1 Replies
827 Views
Natafuta fundi wa kuchinja laptop yangu au anayenunua akarekebishe power switch, nimekata cable ya power switch bahati mbaya wakati narekebisha hinge za laptop zilikuwa ngumu sana. Computer ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
As per heading above. Nina kiwanja Kimbiji eka moja. Natafuta mtu wa kubadilishana naye kwa upande wa Madale, Mvumoni au Goba. kwa kuwa napenda kukaa maeneo hayo tajwa basi sitoangalia ukubwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Niulize chochote kuhusu samaki wa kufugwa au wanaojulikana kama samaki wa mapambo: 0712505049.. Nipo Dar. Pia nauza samaki hawa nasafirisha hadi mikoani kwa gharama ya elfu kumi hadi elfu 20...
1 Reactions
38 Replies
12K Views
Habari wanabodi, Kama kichwa habari kinavyojieleza naweza kupata wapi sehemu ya kuaminika wanapouza mayai ya kuku aina ya sasso kwa ajili ya kutotoresha vilevile nikipatiwa na bei itakuwa vyema...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari mimi jackson fundi madishi ukiwa una shida au unahitaji kufungiwa kalibu sana popote nitafika ndani ya Dar kwa bei ya 20,000 Tu. Namba za simu 0745305256, 0625563390, 0718166275 kalibuni nyote.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina shida Sana na kabati la chuma kama hilo. Mwenye kuwa nalo ambae anatengeneza please naomba nijuze nalipata wapi au hata kama unajua linapatikana wapi nijuze.
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Back
Top Bottom