Sd card 128GB

Sd card 128GB

Feiaidan

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
237
Reaction score
130
Nahitaji memory card moja yenye capacity ya 128GB.
Naomba kufahamu wapi zinauzwa na price yake, au kama kuna mtu anaziuza nicheck.
Nilipita maduka kadhaa kariakoo sijapata ya ukubwa huo, nyingi zinaishia 32GB.

My regards.
 
agiza kupitia mtandao wa kikuu utazipata gharama yake ni kama elf 25
 
Nahitaji memory card moja yenye capacity ya 128GB.
Naomba kufahamu wapi zinauzwa na price yake, au kama kuna mtu anaziuza nicheck.
Nilipita maduka kadhaa kariakoo sijapata ya ukubwa huo, nyingi zinaishia 32GB.

My regards.
Haijatumika aliletewa kutoka nje ya nchi
 
Nahitaji memory card moja yenye capacity ya 128GB.
Naomba kufahamu wapi zinauzwa na price yake, au kama kuna mtu anaziuza nicheck.
Nilipita maduka kadhaa kariakoo sijapata ya ukubwa huo, nyingi zinaishia 32GB.

My regards.

Unataka pisi ngapi? Na utanipa shilingi ngapi kwa kila memory?
 
Back
Top Bottom