chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,568
Nauza hdmi cable mita 25 ipo katika hali nzuri ni mpya haijawai kutumika sema ilikuwa stoo
Nipo Dar mkuu na bei ni Tsh.60,000/- elfu 60 tuTangazo ndio limeisha hapo.. Hakuna bei wala location
Nakupa 2,000/= chap pesa halali .
Hukutaja bei mwanzoni au uliogopa ukitaja utapungua uzito!hiyo ndogo sana mjomba bei halisi ni Tsh.60,000/- elfu sitini tu
Hukutaja bei mwanzoni au uliogopa ukitaja utapungua uzito!
HIYO SINA MKUU KATAFUTE MADUKANINataka mita tano tu ,bei inakuaje?
KABLA YA KUPELEKWA HUKO STOO UNA UHAKIKA HAIKUTUMIKA KABISA?ipo katika hali nzuri ni mpya haijawai kutumika
Fanya ivo mkuu Mimi siitumiiDuuh Kwa project yetu inatufaa sana hii
Mimi ndio nakwambia mkuuKABLA YA KUPELEKWA HUKO STOO UNA UHAKIKA HAIKUTUMIKA KABISA?
Ongeza dau mkuuelfu 20 ipo
Ongeza ongeza kidogo iyo ndogo sanaelfu 20 ipo
Unaijua sheria ya kodi lakini mkuu?Risiti ya EFD utatoa?