Jamani wanajamvi mm ni mjasiliamali.Natafuta mbolea ya kuku kwa kiwango kikubwa Sana Takribani VIROBA 200 kwa mwenye nayo au anayejua inakopatikana anisaidie kunifikishia ujumbe nambari 0745262063...
Salaam humu ndani
Nawaletea eneo lenye nyumba ambayo imefikia kwenye linta imebaki kupiga kenchi tu eneo ni kituo kipya loliondo kibaha maili moja ukubwa Wa eneo ni square meter 25x20 bei yake ni...
Karibuni JEWS CONSTRUCTION inapatikana Kerege na Bunju.
Tuna supply vifaa vya ujenzi.
Tume establish kiwanda cha matofali kilichopo Kerege na Bunju.
Tunatoa tofali zenye ubora wa hali ya juu...
Wana wa Taifa la Mungu mmeshindaje ?
Nina mbwa wangu wawili naomba kama Kuna mtu anayejua training wa hao puppies please tuwasiliane ,wako Arusha mjini .Asante sana ,
Habari wakuu
Ninauza used external hard disc yenye maelezo:
1. Aina: hp
2. Ukubwa: 500GB
3. Rangi: Nyeusi
4. Muda wa kutumika: Miezi minne
5. Bei: 80,000/= maongezi yapo
6. Inapatikana: Dar es...
Wadau msema ukweli mpenzi wa Mungu,Kitimoto cha hapa Starlight Mianzini wanaita kituo cha 2, nikitamu sijawahi ona popote. Kwanza nilaini kama keki ya Harusi halafu ladha yake pia utadhani unakula...
SMART ROOM CONTROLLER. Ni kifaa maalum kinachofungwa kwenye ukuta wa chumbani kwako au kwa mtoto wako, kazi kubwa ya kifaa hiki ni ku-controll taa na feni vya chumbani kwa kutumia simu yako! Kifaa...
Inawezekana ratiba yako inabana na huna muda wa kuhudhuria mafunzo, au unataka upate mwanga ili ukija hudhuria mafunzo ya TMT au wengine uwe una mwanga wa kutosha. Lakin nitajitahid fundisha yote...
Wakuu kama kichwa kinavyo jieleza naitaji kununua mbegu za maboga kwa mwenye nazo naomba anifahamishe anauzaje kwa kilo na anapatikana wapi
Asanteni nawasilisha
1. Dar unaletewa BUREE na utalipia mzigo ukifika, usilipie kabla ya kupata mzigo
2. Ofa ni kwa tv za star x na philips tu kama utavyoona kwenye picha.
3. Tv na sabufa zote ni mpya na zna...
Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii...
Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba,
Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani...
Habari zenu wakuu, kutokana na nature ya kazi ninayofanya inabidi nipate gari ndogo itakayonisaidia.
Kuna eneo ambalo ninalo, nimelikata viwanja, maeneo ya kigamboni, changamoto inakuja...
Najua ubize wa kazi na majukumu ya kila siku imekua ni changamoto kwako kuweza kufanya mazoezi ya mwili,wakati mwingine unafika nyumbani muda umekwenda sana na kushindwa kuhudhuria gym,sasa sisi...
Chumba kinapangishwa single sio self contained.
*Kipo Mabibo External (Mandela road)dakika saba kwenda kituoni
*LUKU ya kushare watu wanne
*Maji yapo
*Kipo ndani ya geti,parking ya kutosha
*Choo...
Natafuta kinyozi awe na sifa zifuatazo:-
1): Awe wakiume umri si zaidi 23.
2): Asiwe mlevi, mvuta bangi,mvuta sigara au mtumiaji wa madawa ya kulevya km mirungi.
3): Asiwe mpenda starehe sana.
4)...
Wasalaam
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni mjasiriamali wa kilimo cha umwagiliaji. Ninahitaji simtank kwa ajili ya matumizi ya kazi zangu za shambani.
Napatikana Dar es salaam muuzaji...
Kiwanja kipo km40 kutoka kigamboni.
Kina ukumbwa wa mita20 kwa mita20.Kiko jirani na barabara kuu na njia panda kwenda Ufukweni (beach).
Panafaa sana kibiashara kama maduka,mgahawa nk.Umeme upo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.