Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,832
- 5,304
Habari Wakuu,
Hii ni kwa Walimu na Wadau elimu hasa kwa shule za Sekondari, kuna hii kazi ya NECTA ya Photo Entry kwa wanafunzi wa Form Two, Four na Six.
Nafanya kazi hii popote nchini kwa kutumia mfumo maalumu wa computer(software) ambao unarahisisha kazi hii kwa mda mfupi sana, vyote kulingana na mahitaji(specification) ya NECTA.
Picha inatakiwa iwe na ukubwa wa 132X185(Width na Height) pia Uzito usiozidi 4Kb kwa picha.
Kazi inafanyika hapo shuleni na kukabidhiwa kazi yako ikiwa ni CD yenye picha za wanafunzi pamoja printed documents. Vyote hivi ni kwa gharama ya shilingi 1500 tu kwa mwanafuzi mmoja.

Last edited: