Zipo gari mitsubish canter mbili naziuza bei nafuu sana kwani mimi ni mmiliki sio dalali wasiliana nami 0752048709 hii ina bomba engine 33 box ton 2 kwa picha zaidi what's up karibuni wateja bei...
Chuo cha ualimu cha al- haramain, kinatangaza nafasi za masomo katika ngazi ya stashahada ya ualimu wa elimu za sekondari (diploma teaching in secondary schools)
Wanafunzi wa kidato cha nne *...
Alaska Beverages and Catering Services, Dar Es Salaam, 0672071666
Tunatoa huduma nzuri za vinywaji aina zote katika kumbi za maharusi, mikutano, kitchen party, send off na sherehe nyinginezo kwa...
Ili uweze ku reclaim Diamond na kumpindua Zari tumia product hii.DERMA e products( derma e tea tree anticeptic ) hii ni ya mwili lainiiiiii mwanaume anateleza.Halafu DERMA 12,000 vitamin e creme...
Huawei 4G Routers come with 1 Adsl Port for Phone
Wahii mzigo ni mchache.
Price : 250000/=
Call: 07192231317
Mkoani tunatuma..
Location: Kijitonyama
Sent using Iphone X
Shamba linauzwa lipo Dodoma mjini mtaa wa Nala ni kilomiter 15 toka mjini kati(Jamatini) barabara zinapitika bei yake ni laki Saba tu (700,000/=) kwa heka moja na zipo heka nne karibu sana kwa...
Habari za kazi?
Poleni na majukumu samahani kwa anaefahamu taratibu na vigezo vya kupata msaada wa tasaf atusaidie,lengo ni kujua vigezo gani vinatumika na ni kiasi gani walengwa wanapatiwa na...
Kama una kitu unauza dalali nipo hapa nina network ya uwakika utakiuza fasta
1gari
2)PC
3)kiwanja
4)shamba
5)kontena nk
Nicheki kwa biashara pia naweza kuwa agent wa duka au kampuni yoyote...
Kuna mpunga unauzwa kwa bei chee, mpunga huu ulinyeshewa mvua wakati unavunwa...na hivyo ukikobolewa unakuwa na rangi mbili means original (nyeupe) na fake (njano)...kwa wale wanaohtaji huo mpunga...
Habar za muda wadau
Ninauza Kiwanja changu kilichopo mbezi Msakuzi NJIA ya kuelekea mpigi magohe Kiwanja kina barabara kuna Maji ya chumvi Kiwanja Jirani nguzo ya Umeme IPO Kiwanja cha pili...
Habari wana jf, baada ya muda nimerejea tena online kwa wana Mwanza kama kichwa kisemavyo nahitaji magari aina zote ya kisasa, kizamani, yanayotembea, yaliyoharibika au yaliyopata ajali. Kumbuka...
Wadau kama kichwa kinavojieleza .nimenunua harrier ina sport rims na tairi zake mpya kabisa ambazo ni size 20 .ila nimekuja kuenda kwa fundi wakati analikagua akasema size ya rims kwa harrier...
hello jf!
kampuni yetu inaitwa Hieview international co Ltd,tuko mikocheni nyuma ya nyumba za mawaziri,tunauza matairi mapya ya magari kwa bei ya jumla,matairi yetu yanaitwa roadcruza kutoka...
Gari nzr sana n iko kwenye hali nzr inauzwa
Mwaka 2003
Cc 1290
Bei 5.8m
Maongezi zaidi nakuja kuona wasiliana nami kwako
0756060183
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninauza mchele wa kahawia (brown rice), kwa anaehitaji anaweza nicheck PM tuka-arrange namna ya kukufikishia mzigo.
Kwanini mchele wa kahawia (brown rice)?
- Una madini zaidi ya manganese...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.