Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,886
- 9,778
Habari zenu naomba msaada wa kupata charger original ya HTC ONE M8 Charger yake niliyonunua pamoja na simu nilisahau guest house mjini DSM napatikana mbeya kwa sasa,Mawasiliano 0788643144
Naihitaji yenyewe ina charge battery ya 2600-3000mAh kama unayo fast charger pia yenye range hiyo hapo please naomba unisaidie.
Naihitaji yenyewe ina charge battery ya 2600-3000mAh kama unayo fast charger pia yenye range hiyo hapo please naomba unisaidie.