Hivi kuna Note 8+Habari Wapendwa, Kama kichwa Cha Habari Kinavyosema, Natafuta Simu Samsung Galaxy Note 8+ na Budget Yangu Ni Tsh Mil 1.2
Nimekusoma. Agiza eBay mkuuMy bad aisee nimechanganya kidogo na Galaxy s8 But nataka Note 8
Mkuu naomba specification zake mkuuMkuu Ninayo Gallaxy S6 Edge Bei 400k
Mkuu njoo nikupe huawei p10 nimetumia kidogo tu nina udhuru, hii ina 6gb ram na internal 128gb nipe hiyo hiyo fedha au nicheki inbox kama utahutaji.Habari Wapendwa, Kama kichwa Cha Habari Kinavyosema, Natafuta Simu Samsung Galaxy Note 8+ na Budget Yangu Ni Tsh Mil 1.2