Nauza kuku wa kienyeji kutoka Singida

Manchid

JF-Expert Member
May 29, 2016
217
444
Wadau mwenye uhitaji wa kuku wa kienyeji kutoka SGD tuchekiane nauza kuku wa kienyeji pure ambao tunawakusanya Vijijini bei nafuu kabisa majogoo na makoo tunasafirisha kwa waliopo mbali uaminifu jadi yetu.
Tucheki 0716527104
IMG_20180725_183528_755.jpg
IMG-20180603-WA0005.jpg
 
mimi niko Dar Kariakoo ,nahitaji majogoo majogoo 2 na mitetea 2 nitawaptaje mkuu
nicheki katika No. 0773031227
 
Tuwekee picha yako binafsi na washirika wako pamoja na barua ya mjumbe wako ili ukitutapeli tujuwe wapi pa kukukamatia.
 
Ndugu zangu eid hyo hapo ikiwa unataka uchinjiwe kuku na kutumiwa mbona tunawachinja then tunabanika kuwakausha then wanatumwa kwa basi wanachinjwa usiku asubuhi kwenye ABC jioni saa12 unapokea mzigo wako DSM karibuni
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom