Kiwanja kinauzwa kipo Kigamboni

Kiwanja kinauzwa kipo Kigamboni

zaza1

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
60
Reaction score
50
Habari wana JR !

Kiwanja kinauzwa maeneo ya kigamboni Chenye ukubwa wa sqm 555 , kina hati na bei Tsh 9,000,000/= hakina dalali maelewano yapo pia . Ni pm kama kama utakua interested.
 
Kigamboni kubwa ..maeneo gan
 
Habari wana JR !

Kiwanja kinauzwa maeneo ya kigamboni Chenye ukubwa wa sqm 555 , kina hati na bei Tsh 9,000,000/= hakina dalali maelewano yapo pia . Ni pm kama kama utakua interested.
kigamboni sehemu gan
 
Kuna nini cha zaidi? Is it a central business area? sq m moja 16,216 Tsh! magic!
Basi tu watu wanakariri. Mimi huko kgmbn Nina plot yenye ofa ya manispaa sq 1200 nililipa m8 mwaka Jana. Tena ni Happ dege tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom