Nahitaji chumba Mikocheni

Nahitaji chumba Mikocheni

Shoma1

Member
Joined
May 21, 2018
Posts
16
Reaction score
8
Habarini wadau nahitaji nyumba maeneo ya Mikocheni chumba na sebule jiko kwa bei ya laki na nusu naombeni Msaada anayejua
 
Mkuu, jiandae kukodishwa banda lenye vyumba viwili. Chumba kimoja cha kuku na cha pili cha vifaranga...
Watakachofanya ni kukupigia rangi angalau pawe na mvuto!
 
Mikocheni....chumba na sebule na jiko na bafu na choo kwa laki unusu ? Hii ni mikocheni ya Dar au ya Songea ?

Ndugu yangu Kwani lazima uchangie??niongezee wewe maana huu ndio uwezo wangu
 
Mkuu serious kabisa Kwa bei hiyo uliyoweka na specifications zako Kwa mikocheni itakuwa ngumu kupata
 
Labda chama ndani ndani kule lakini kwa Mikocheni kupata chumba+sebule na jiko ni vigumu kwa bei hiyo
 
Nenda utafute Mbagala Kwamtogole ukae karibu na akina Evelyn Salt!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom