Mahindi ya jumla kwenye magunia Dar nahitaji.

Mahindi ya jumla kwenye magunia Dar nahitaji.

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Anayeweza kuniletea mahindi au nipate mahindi kwa bei ya chini kama gunia tano kwa ajili ya matumizi ya nyumbani .
Bei zipoje kwa watu wanaosafirisha tokea mkoani?
Ni pm kama unayo
 
Ninazo ila kama ungehitaji mzigo mkubwa kuanzia gunia 50-
 
Back
Top Bottom