Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza macbook air kwa bei poa Year:2015 Size:13 inches Processor:core i 7 Ram:8GB Storage:512GB SSD Cycle count :71 No scatch new condition Bei: 2Million(fixed) Mobile:0752960458 Sent using...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Pr̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈ï̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈c̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̤̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈̈ë̤̤̤̤̤̤̤̤̤̈̈̈̈̈̈̈̈: 50,000/= Tsh...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
] Inafanya kazi ipasavyo. ] Haina tatizo lolote. ] Betri inahitaji kubadilishwa. ] Going very cheap. ] SPECS : 3GB RAM : 320GB HARD DRIVE : 15.6" HD DISPLAY : HDMI PORT : VGA PORT : 4 USB PORTS ...
1 Reactions
2 Replies
793 Views
Habar wakuu... Nahitaji refrigerant sealant kwa ajiri yakuzibia Coils zina leakage nimechoka kuongeza gas kila mara... Mwenye nazo anicheck.. Nipo Tegeta 0675-425-148 Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Habari zenu wakuu. Naweza kupata wapi mashine ya kutengeneza chaki na designer wa vifungashio yaani mabox ambayo ni printed tayari. Nawakilisha.
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Kama heading ilivyo apo wakuu.... Nnahitaji room ya kupanga iwe self au normal ila isizidi 70K Maeneo ni... 1.Temeke kuanzia keko mpka devis kisiwe mbali na main road. 2.Manzese 3.Makumbusho...
0 Reactions
4 Replies
734 Views
Jamani nnashida kweli na hela,naiuza simu yangu Samsung S4 used 8months kwa laki 2 tu nilipe kodi wiki hii,ila picha nashindwa weka,nikibonyeza hapa paku upload haileti option yoyote.simu IPO...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habar za humu wakuu. nahitaji laryngoscope mzigo wa kutosha. kila moja nitanunua kwa shilingi 100000/= njoo inbox tufanye biashara within 48hrs.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Full boxed with Adapter Specification; Hp RAM 4GB, Hard disc;1Tr Core i3 Battery inauwezo wa kawaida sio mkubwa sana. Soft ware iko up to date with apps,games and movies kibao Haina tatizo lolote...
0 Reactions
3 Replies
756 Views
Gold colour Ni ya mwaka jana Haijafunguliwa wala kupelekwa kwa fundi Bei ni 220000 ila maelewano yapo Mawasiliano ni 0766322881 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Katika experience yangu na JF tangu 2012 sijawahi kuona kabla vitu vikiuzwa kwa bei poa kama sasa na bado havinunuliwi ni shida yaani, laptop sasa hadi laki moja, smart ndio hadi 50k, friji hadi...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
5 × 6 bed set ( with mattres ) cha kisasa na godoro 8inches Tsh 600,000 Dressing table Tsh 200,000 Kabati 2 doors Tsh 300,000 Vyote sh 1M. Vipya na original (not chinese) with guarantee. I...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
*FAIDA ZA AFRICAN BLACK CASTOR OIL* hujaza nywele hurefusha nywele huzuia nywele kukatika huondoa mba kulainisha nywele kufanywa nywele kuwa nzito kuotesha kipara kurefusha kope na nyusi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
jaman wana jf natumain ni wazima wa afya naitwa Emmanuel niko mkoa wa songwe no mzaliwa wa huku kwa yeyote ambaye yuko interestd kufny biashr ya magimb,maharg na karang namkaribisha tuwasiliane...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
nikiwa naimani ya kuwa JF ni zaidi ya kijiji na kina mawakala kila kona ya nchi hii naamini pia naweza kupata msaada mkubwa humu wa kimawazo kutokana na tukio la wizi wa gari lilioniksibu...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Tunatoa huduma za bima Aina zote kwanjia lahisi Sana na ya kisasa tupo Mara wilaya ya bunda pia mwanza buzuruga plaza na dar-es-salaam makao makuu tupo urafiki au piga Simi namba 0766613890...
0 Reactions
1 Replies
618 Views
baada ya kuibiwa gari langu na kutokuwa na matumaini ya kulipata tena, nimerudi kijijini kutafuta mchuma utakao weza kuniliwaza kwa kipindi hiki kigumu kwangu. hivyo basi natafuta gari ndogo aina...
0 Reactions
39 Replies
10K Views
Habari za muda huu Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM)nachukua degree ya accountany mwaka wa pili kuingia watatu,nilikua nahitaji kupata firm itakayoweza kuniruhusu kujifunza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
The Victoria Vachino Inakufahamisha kua mzigo mpya wa senene umeingia wanapatikana katika ubora ule ule na virutubisho(viungo) vimeongezwa bei ni ile ile Tsh 7000 kwa pakti ya gram 200, tumesogeza...
3 Reactions
30 Replies
7K Views
Lake V fish monger tunawatelea dagaa za kukaanga, senene za kukaanga pia SAMAKI fresh wabichi directly from BUKOBA(ZIWA VICTORIA) bei zetu ni 1. Samaki kwa bei ya Reja reja kwa kilo ni sangara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom