Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,269
Reaction score
1,269
Lipo Kiwangwa kwenye kijiji kinaitwa Masugulu. Lina ukubwa wa eka 30, eneo ni zuri kwa uwekezaji wowote. Bei ni TZS M40. PM kwa maelezo zaidi na negotiations.

Akhsante.
 
Mbona katika picha hapo inaonyesha sehemu yote ni poli tu kiongozi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom