Natafuta toyota crown athlete series

Natafuta toyota crown athlete series

JAY-JOE

Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
24
Reaction score
12
Habari za leo

Natafuta gari Toyota Crown Athlete series

Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2008

Engine isizidi 2500Cc

Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa nasafiri kwenye barabara zenye vilima korofi na zenye utelezi)

BEI IWE RAHISI SANA NA DALALI HARUHUSIWI

Kama kuna muuzaji wa magari mwenye gari yenye sifa hizo hapo juu anipatie namba yake tuwasiliane!
 
Back
Top Bottom