Habari za mshughuli wakuu, kwa kuwakilisha tu kama kuna mtu anashughulika na lorry za mchanga, kokoto na kadhalika maeneo ya mwasonga kigamboni aje hapa kuna kazi zinahitaji trip za mchanga (lorry...
Wakuu nauza glasa cover ya screen ya macbook pro laptop.Cover ni mpya kabisa ipo kwenye box lake.
Nicheki DM tufanye biashara.
Bei ni 90,000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wadau,
Ninauza shamba zuri na tambarare liko karibu sana barabara.Linauzwa Kwa Shilingi za Kitanzania milioni kumi lakini maongezi yapo pia.Shamba liko Kimbiji kwa Morisi...
Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha MAJI ya kunywa cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi...
A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam ndugu zangu katika imani na ndugu zangu katika Adam leo ni siku ya jumatano ni siku ambayo hutumia kuelekeza aina ya dawa fulani kwa wenye matatizo fulani...
Habari wanajamvi,
Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu, hivi ninawezaje kupata mavazi ya kuvuna asali?
Wakuu habari zenu wote. Ndg zangu naombeni msaada wa kunijulisha wapi naweza pata...
Wapendwa habarini za mida, bila shaka mu wazima wa afya njema, ninauza laptop dell imetumika kwa mwaka 1 na mienzi 5 iko katika hali nzuri... Ninaiuza kwa sababu nina shida ya pesa ,,, Napatikana...
A,aleykum warahmatullah wabarakatu inshaallah tunaendelea na mfululizo wa kuchambua na kuangalia baadhi ya nyota na tabia zake.Hapa tunaangalia watu wenye nyota hizo wanatabia gani katika mapenzi...
Habar za kazi wadau,kuna cover nzuri za Biblia zinazotengenezwa kwa vitenge ,cover hz unaweza ukazifua zikichafuka bei ni 6000 kwa siz kubwa na size ya kati ni 5000/na size ndogo 4000 kwa...
Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank...
Nauza macbook air kwa bei poa
Year:2015
Size:13 inches
Processor:core i 7
Ram:8GB
Storage:512GB SSD
Cycle count :71
No scatch new condition
Bei: 2Million(fixed)
Mobile:0752960458
Sent using...
Habar wakuu...
Nahitaji refrigerant sealant kwa ajiri yakuzibia Coils zina leakage nimechoka kuongeza gas kila mara...
Mwenye nazo anicheck..
Nipo Tegeta
0675-425-148
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.